Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Haujasema hayo matangazo yanakuja wapi, bila details ni vigumu sana kupata msaada wowote.Habari zenu wadau
Nimekuja hapa kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba msaada wakublock haya matangazo ya mikopo yasinifikie
Mwezi iliyopita nilifiwa na tangazo la mikopo kuwa wanakopesha Hadi millioni moja nika click link kupakua App baada ya kujisajiri nakutana mkopo unaanzia kutolewa ni Tsh 30000 hapo hapo ikabidi niifute hiyo App sikuona manufaa kwangu kwa mkopo huu
Shida iliyopo sasa nakutana na matangazo ya mikopo kwa wingi zaidi na Mimi sipo interest nataka niblock lakini sioni option ya kublock ili nisifikiwe
Mimi ni mpenzi wa kuangalia matangazo ila sipo interest na matangazo ya mikopo sasa nimefankiwa kujua namna ya kublock matangazo hayo yalikuwa yananijia na kufunika app( pop up)nazotumia1. Kuwa na fedha....lipia usione matangazo. Yani hii mitandao siku hizi ni lazima uone matangazo...kama hutaki lipia kutumia mitandao.
2. Matangazo yanakuja kutokana na unayosearch kwenye simu, au mwenendo wa chats zako. Ukichat kuhsu kununua gari, basi jua matangazo ya magari ndio yatakuja, ukichat kuhusu ugumu wa maisha, yatakuja matangazo ya mikopo, etc
1. Kuwa na fedha....lipia usione matangazo. Yani hii mitandao siku hizi ni lazima uone matangazo...kama hutaki lipia kutumia mitandao.
2. Matangazo yanakuja kutokana na unayosearch kwenye simu, au mwenendo wa chats zako. Ukichat kuhsu kununua gari, basi jua matangazo ya magari ndio yatakuja, ukichat kuhusu ugumu wa maisha, yatakuja matangazo ya mikopo, etc