Wana JamiiForums, naomba msaada wa kupata shule ya O Level niweze kumpeleka mdogo wangu akasome hapo. Sifa iwe na walimu wazuri, iwe na ufaulu mzuri wa matokeo ya kidato cha nne. Kama iko nje ya Morogoro basi iwe ya bweni.
Shule unachangia kiasi fulan kweny ufaulu bhna.....ahhahhhahah.hata kama hajui vitu,anaweza kuambukizwa na wenzio mambo kadhaa na kujikuta yuko kweny track nzuri.
Badala ya kupat zero anaweza pata hata three.hahahh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.