tekategula
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 171
- 96
We nae hapa umefoji vyeti[emoji23][emoji23]Wakubwa shikamooni, wenzangu mambo zenu... mi ni memba mpya wa JF, naomba mnisaidie kunielekeza mambo ya muhimu humu ndani ili na mimi nisionekane mshamba... ahsanteni sana
Hii inaitwa tia mkono upapase, utakachokuta halali yako.Afanaleki... kufa hakuna breki!!!
Ushanifanyia upembuzi yakinifu ukagundua jinsia yake??
Maana huchelewi kuingia chaka kwa liBashite tokea Call me J.
Ha ha ha ha ha.... UsinichekesheMoja!!! Ila yakinishinda ntafungua nyingine kutafuta mume [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha ha ha.... Usinichekeshe
KibumbuKama nani jina lake gumu dogo
Mzee ulisema unakulaga kwa machonjooo huku nikukaguwe
mi siasa siyo sana cpend, napenda kujua tu sana kuhusu maisha
Huyu inaonekana ana nyege za dunia..Simuwezi
Umeniita??Ila yakinishinda ntafungua nyingine kutafuta mume [emoji16][emoji16][emoji16]
cjafoj mi ninavyo vyoteWe nae hapa umefoji vyeti[emoji23][emoji23]
Ahsante we mbaba ila picha yako inatishaKarib sana, japokuwa ni mgeni nimefurahishwa na mawazo yako kwenye uzi wa Kuzuia mchanga wa madini na kuzuia madini yasitoke kipi kianze? inaonesha unaelewa, congrats na karibu, unaweza nichek pm tufahamiane zaidi
Akuu, mbona watu wananijaji kwa jina jaman mi sipend nataman kubadilishaHuyu inaonekana ana nyege za dunia..Simuwezi
Maisha in general, mafanikio, mahusiano, elimu yaani maisha kwa jumla yakeunapenda kujua maisha yako au ya watu?
Biashara gani jamani, dont judge a book by its coverWe sio mgeni Biashara imekuwa ngumu umeona utafute wateja huku kwa kuvutia na jina lako.!
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Ban ndo nini Melvine... na kwan humu kuna mitaa?Mim napita tu...
Dick Monger angalia watu wasikupelekw mitaa mibaya ya umu ndani uko kuna BAN