Naomba Msaada Kufundishwa Kutumia Hii Kitu

Naomba Msaada Kufundishwa Kutumia Hii Kitu

Mh... kuna mtu ananiambia pm eti picha zinaweza kutumika kunitrace endapo nitapost mambo yasiyowapendeza wenye nchi, mbona sion mtu yeyote kuweka albamu ya picha humu? au unataka kunichuuza
Tumeweka mbon anza kufatilia post moja moja tangu mtu aanze kujiung jf tumetuma sana picha zetu
 
Sugu ndo nani? Si nasikia humu kuna wababa wengine na heshima zao
Umesikia kwa nani? Mimi pekee ndo mwenye details za memba wote wa humu! Naweza kukupa burn ya milele mda wowote! Njoo PM nikupe namba ya utambulisho!!
 
Nisingetishwa ningeyataja hapa halafu mtu aingie hata google aone kama ni kweli au sio kweli lakini naambiwa humu hutakiwi kutaja majina yako halisi labda kifupi au jina la utani
Ina maana hayo majina yako matatu yanapatikana google pia?

Katika hayo majina yako matatu Dick ndio first name?
 
Back
Top Bottom