ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
Tumeweka mbon anza kufatilia post moja moja tangu mtu aanze kujiung jf tumetuma sana picha zetuMh... kuna mtu ananiambia pm eti picha zinaweza kutumika kunitrace endapo nitapost mambo yasiyowapendeza wenye nchi, mbona sion mtu yeyote kuweka albamu ya picha humu? au unataka kunichuuza