Ban ndo nini Melvine... na kwan humu kuna mitaa?
Kutumia Jamii ForumDick monger kitu gani ulikuwa unaonba kuelekezwa namna ya kutumia???
Dyudyu ndio nini? Halafu mbonaunajitoboa hapo kwenye picha?Mbona unaongea kama hujawahi kuonja Dyudyu? Au ndio gia yako hiyo....
-Peleka uzi husika kwenye jukwaa husika, mfano swala la siasa hautakiwi kulipeleka kwenye jukwaa la mahusiano au jukwaa la hoja na habari mchanganyiko ili upate wachangiaji.Kutumia Jamii Forum
Sawa Mkuu, wengine wanafundisha vizuri hadi raha-Peleka uzi husika kwenye jukwaa husika, mfano swala la siasa hautakiwi kulipeleka kwenye jukwaa la mahusiano au jukwaa la hoja na habari mchanganyiko ili upate wachangiaji.
-Hairuhusiwi matusi (tafsida inaruhusiwa) kumdhalilisha au kumbagua member mwenzio, kufanya hivyo hupelekea ban.
-Marufuku kuleta mazungumzo uliyofanya pm jukwaani hii hupelekea ban.
-Ukihisi umemjua mtu anayetumia fake id, usiliseme hilo pale pale mfuate pm, kumtaja hapo hapo hupelekea ban.
-Marufuku kuandika kama upo FB au kufupisha vitu bila sababu mfano 'S' kuiandika 'X' hivyo sasa kua xaxa, au 'tu' kuiandika 'tyu'. Utanikera na utatukera wengi.
-Zingatia sheria zote za JF.
-Kuanzia leo nakubatiza jina la Mkuu, ukiitwa mkuu usishangae, sawa mkuu?
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Naweza fanya kama hivyo kwa ajili yako....njoo pm nikuonyeshe!
Duh kama na wewe hutaki hii fursa, dick monger hampati mtuHuyu inaonekana ana nyege za dunia..Simuwezi
PoleAhsante thatsit, ila humu watu wana majina magumu
He jaman watu wana wasiwasi mpaka na jinsia yangu kisa jina... makubwaUsije ukawa dume
Kwan humu naruhusiwa kutuma picha? Eti dadaWatumie picha mkuu
Maisha in general, mafanikio, mahusiano, elimu yaani maisha kwa jumla yake
Yaani unaruhusiwa mpenz hata uamue utume albam nzima ni ww tu mdog wangu haya karibu uweke picha hapa ili waamin jinsia yakKwan humu naruhusiwa kutuma picha? Eti dada
Mbon hutum sasa hio pichKwan humu naruhusiwa kutuma picha? Eti dada
Binti!!....Lugha zako hapan'shaka weye mzoefu wa mambo ya Mombasa.Dada kama yule cjui nyaningadu cjui, mwingine mmawia, wale si wanakulaga watu? wengine cjui majina ya kidhungu misamiati