ChizzoDrama JF-Expert Member Joined Sep 29, 2019 Posts 1,317 Reaction score 1,229 Dec 24, 2022 #1 Habari wadau Nilikua najaribu kuminya codes tofauti kwenye simu yangu, Sasa sijajua nimeilock kwa codes zip? Laini ninayo tumia ni Vodacom , naomba msaada wa codes za kui activate, Natanguliza shukrani zangu
Habari wadau Nilikua najaribu kuminya codes tofauti kwenye simu yangu, Sasa sijajua nimeilock kwa codes zip? Laini ninayo tumia ni Vodacom , naomba msaada wa codes za kui activate, Natanguliza shukrani zangu
K Kwa Gadie JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 235 Reaction score 447 Dec 24, 2022 #2 Tafuta ile frame ya line yako uliyopew kuna namb znaitw PUK bila hizo utoboi apo lbd uende vodashop
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,580 Reaction score 8,141 Dec 24, 2022 #3 Jaribu hii *21#