Naomba msaada kuhusi shirika la bnafsi linalofadhili mayatima kuwasomesha elimu ya chuo kikuu

knowcko

Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
11
Reaction score
1
Nna ndugu angu alkosa mkopo kutoka hslb so naomba anaejua shirika tajwa aweze nifamisha ili tuweze okoa jahazi kwa mwanafunzi anaesoma kwa shida sana hapate kusaidiwa. Nashukuru sana kwa kunisikiliza
 
MSUBILIE heslb 2
 
usikulupuke kijana subil muda ufike wa kuomba vyuo na bodi ya mikopo watakupatia 2 usiwe na wac wac welcom at UDSM
 
Back
Top Bottom