Mimi ni fundi. Niluenda kwa tajiri na kumfanyia hesabu ya gharama zinazohitajika akanipatia kiasi chote Cha fedha kwa ajili ya kazi yake ila sikuenda kufanya kazi kwa wakati na nikamuarifu yakuwa nitafika kufanya kazi siku flani. Kabla ya hiyo siku kufika alinifuata na kwenda nae kituoni ndipo nikafunguliwa shtaka. Nilikaa siku chache kituoni kutokana dhamana yangu kuminuwa ili niweze kutoka kumrudishia fedha yake ama kumaliza kazi. kabla ya kutoka ndani kwa dhamana tajiri alipatiwa fedha yake na kwenda kituoni kufuta mashtaka ila askari aliyehusika na kesi Kuna kiwango Cha fedha anadai ili shtaka lifutwe kabisa. Je nikienda mahakamani ni a kesi ya kujibu ama nichukue hatua gani