ferucho lamborgini
Senior Member
- Nov 25, 2023
- 185
- 599
Nahitaji kufungua website kwa ajili ya biashara.
Nimepitia baadhi ya nyuzi tofauti tofauti kuhusiana na maswala ya website na aina zake nimepata mwanga angalau kidogo.
Ila bado nina maswali kwa wataalamu, naombeni mnisaidie
a] Nitajuaje kama website niliyotengenezewa na web designer kama ni custom au ni template website?
custom- ni website ambayo inaanza from the scratch
Template-wanachukua website iliyotengenezwa wana-edit
Haya maelezo nimepata humu kwenye baadhi ya nyuzi, mtanisahihisha kama sio sahihi
b]Baada ya kumaliza kutengenezewa website, nitaweza kuwekewa website kwenye simu yangu kwa mfumo wa app?
C]kwa gharama gani ninaweza kupata website nzuri kwa ajili ya biashara ya utalii?