chankele kigoma
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 199
- 121
Pole sana sana.... Kwa kipindi chote hicho.... Umetumia aina gani ya/za njia za kupanga uzazi na je umetumia kwa muda gani mpaka ulipokuja kuanza kutafuta mtoto wa pili?Ni miaka minne (4 yrs) toka nijifungue mtoto wangu wa kwanza, nimekuwa nikifanyajitihada za kupata mtoto mwingine bila mafanikio, hivo basi naombeni msaada kwa wale wenye weledi juu ya hili.
Nawasilisha kwenu wadau
Nenda hospitali.... Kutakakuwa kuna shida mahali....!!! Ila usiwaze sana... Ikiwezekana na mwende pamoja hospitali na mwenzi wako....!!!!Sija wahi kitumiya ziya yeyote ile ya uzazi wa mpango
Watoto ni baraka kutoka kwa Mungu, mtangulize Mungu kwa kila jambo.Ni miaka minne (4 yrs) toka nijifungue mtoto wangu wa kwanza, nimekuwa nikifanyajitihada za kupata mtoto mwingine bila mafanikio, hivo basi naombeni msaada kwa wale wenye weledi juu ya hili.
Nawasilisha kwenu wadau
Nenda hospitali.... Kutakakuwa kuna shida mahali....!!! Ila usiwaze sana... Ikiwezekana na mwende pamoja hospitali na mwenzi wako....!!!!
Nilisha wahi kwenda nikaambiwa ninakiuvimbe kilichotunga maji lakin wakasema naweza kupata lakin mpaka leo sijapataNenda hospitali.... Kutakakuwa kuna shida mahali....!!! Ila usiwaze sana... Ikiwezekana na mwende pamoja hospitali na mwenzi wako....!!!!
Mtoto mmoja anakutosha sana. Mwenyezi Mungu pamoja na utajiri wate alio nao ana mtoto mmoja tu, Yesu Kristo... Wewe na umasikini wote ulio nao bado unataka uwe na watoto wangapi? Dunia ishajaa hii...
Mtoto mmoja anakutosha sana. Mwenyezi Mungu pamoja na utajiri wate alio nao ana mtoto mmoja tu, Yesu Kristo... Wewe na umasikini wote ulio nao bado unataka uwe na watoto wangapi? Dunia ishajaa hii...
Nichumu Nibebike ππππMtoto mmoja anakutosha sana. Mwenyezi Mungu pamoja na utajiri wate alio nao ana mtoto mmoja tu, Yesu Kristo... Wewe na umasikini wote ulio nao bado unataka uwe na watoto wangapi? Dunia ishajaa hii...