Naomba msaada kuhusu ajira za ualimu

Naomba msaada kuhusu ajira za ualimu

realleonia

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
366
Reaction score
138
Mie ni mwalimu sekondari mwenye stashahada, nimeajiriwa 2005 . Niliajiriwa wilaya ya mbozi kwa kutojua taratibu sikujaza mkataba wa kudumu kazini mpaka pale nilipo hamia shule ya mjini na kugundua kuwa kuna kujaza mikataba nikaanza mchakato huo 2012 na mpaka sasa nimepata barua ya mkataba/ajira na kuthibitishwa kazini.

Mpaka sasa sijapandishwa daraja lolote wenzangu nilio anza nao wapo daraja E mimi bado nipo C. Kwa mazingira hayo nifanye nini kufikia daraja la wenzangu nilio ajiriwa nao pamoja naomba ushauri tafadhari.

NA WASILISHA.
 
Sina uhakika sana ila nahisi kuchelewa ku sign mkataba kumesababisha of which kwenye system inaonyesha umeanza kazi baada ya ku sign mkataba otherwise mwajiri wako ndio anaweza kukupa jibu sahihi
 
Nijibu mambo yafuatayo ili nikujibu kitu,TSD NUMBER UMEIPATA LINI?UMESHAWAONA WATU WA TSD?
 
Nijibu mambo yafuatayo ili nikujibu kitu,TSD NUMBER UMEIPATA LINI?UMESHAWAONA WATU WA TSD?

kaka tsd nimeipata 2012,watu wa tsd mkoa na wilaya wote nimewaona mpaka utumishi jibu lao ni uzembe wangu wao hawahusiki ndio majibu yao.
 
Back
Top Bottom