Naomba msaada kuhusu Diploma in Pharmaceutical Science

Naomba msaada kuhusu Diploma in Pharmaceutical Science

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
Waheshimiwa nimchaguliwa hiyo kozi tajwa hapo, ninachotaka kujua ni je ukimaliza hiyo kozi unaweza kupata ujuzi pia wa kutengeneza/kuunda madawa??.. pia nimesikia ajira zake serikalin ni ngumu kidgo japo ni rahis kuajiriwa kweny taasis na mashirika binafsi,hili ni kweli? ahsanten (hjh)
 
Back
Top Bottom