Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
Waheshimiwa nimchaguliwa hiyo kozi tajwa hapo, ninachotaka kujua ni je ukimaliza hiyo kozi unaweza kupata ujuzi pia wa kutengeneza/kuunda madawa??.. pia nimesikia ajira zake serikalin ni ngumu kidgo japo ni rahis kuajiriwa kweny taasis na mashirika binafsi,hili ni kweli? ahsanten (hjh)