Naomba Msaada kuhusu Kamati ya MAhalu

Naomba Msaada kuhusu Kamati ya MAhalu

liwaya

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
2,384
Reaction score
1,648
ndg zangu niasaidie majnia na idadi ya wajumbe wa kamti ya dr costa ricky mahalu niwajue ili from the start nijiridhishe kinachowasilishwa ni cha aina gani
 
kamati ina wajumbe makini sana kama mwanasheria mkuu wa serikali ya muungano na zanzibar, tundu lisu, simbachawene, amon, n.k., kwa kweli kamati hiyo mimi binafsi nina imani nayo sana.
 
Back
Top Bottom