Naomba msaada kuhusu Kampala International University

Hospital yao wameshakamilisha ujenzi au badoo
 
Kuna mademu wakali?
 
Chuo kipo vizuri, usisikilize maneno ya watu, njoo upige msuli huku, mazingira rafiki kwa kusomea..
Nimemwambia mi hapo ndio mitaa yangu kwa Sasa kwa dar ukiondoa UD hiki chuo kinafata
 
Habari zenu wakuu,

Nahitaji kujua kuhusu hali ya ubora wa chuo cha Kampala International University kwa sasa, maana hapo miaka ya nyuma nliskia kashfa nyingi kuhusu hiki chuo.
Kampala International University wana Campus 3

1. KIU Main Campus Ggaba road Uganda

2. KIU Western Campus Uganda pamoja na

3. KIU Tanzania

Mimi naifahamu vizuri Main Campus maana ndipo ninaposoma kwa sasa.

In short kwa Nchi ya Uganda (na kwa ranking za miaka ya 2021, 2022 na 2023 KIU ndo Chuo binafsi kinachoshindana na Makelele.
Kwa vyuo Binafsi nchini Uganda hakuna Chuo kinachokifikia KIU, namaanisha ndicho Chuo binafsi cha kwanza kwa ubora nchini Uganda.
 
Unataka kumaanisha kuwa KIU inakubalika na kutegemewa sana Uganda kama inavyokubalika na kutegemewa TEKU hapa Bongo??
 
Unataka kumaanisha kuwa KIU inakubalika na kutegemewa sana Uganda kama inavyokubalika na kutegemewa TEKU hapa Bongo??
Tazizo picha zunqgoma ku-Upload, ungaelewa ukisemacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…