Naomba msaada kuhusu maumivu kwenye miguu

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,133
Reaction score
661
Ndugu wanajukwaa habari za kazi? Natumai wote mu wazima. Nina mpenzi wangu ambaye anasumbuliwa sana na maumivu kuanzia kwenye magoti kushuka chini .

Tatzo ni la muda sasa kama mwezi, anapata maumivu haswa wakati wa usiku akilala. Miguu inamuuma kwenye mifupa na ili apate ahueni ni mpaka afanye kama anaichua na kuigongagonga tena kwa nguvu. Maumivu wakati wa mchana hayapo, ni usiku tu, na hata kama asipotembea umbali mrefu anapata tatzo hlo.

Je, anaweza kuwa anasumbuliwa na nini? Au chanzo ni nini? Na namna gani anaweza kusaidiwa? Nitashukuru sana kwa mawazo yako/yenu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Wakati unaendelea kutumia hayo matibabu ya hosptali jaribu na tiba mbadala kwa kutumia mkojo wako mwenyewe, nenda kwenye google type URINE THERAPY utapata majibu yote ya maswali yako, mi nina matatizo ya viungo kwa muda mrefu, nimesoma , nikaelewa, nimeanza kutumia leo ni siku ya tatu kwa hiyo ni mapema muno kupata matokeo.
 
Huenda Mgonjwa ana ukosefu wa Madini calcium mwilini mwake aende kumuona Daktari wa mifupa akampime na kumpa Dawa asipo pona anitafute mimi ninayo dawa nikimpa ataweza kupona kunipata mimi Bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…