Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
Ndugu wanajukwaa habari za kazi? Natumai wote mu wazima. Nina mpenzi wangu ambaye anasumbuliwa sana na maumivu kuanzia kwenye magoti kushuka chini .
Tatzo ni la muda sasa kama mwezi, anapata maumivu haswa wakati wa usiku akilala. Miguu inamuuma kwenye mifupa na ili apate ahueni ni mpaka afanye kama anaichua na kuigongagonga tena kwa nguvu. Maumivu wakati wa mchana hayapo, ni usiku tu, na hata kama asipotembea umbali mrefu anapata tatzo hlo.
Je, anaweza kuwa anasumbuliwa na nini? Au chanzo ni nini? Na namna gani anaweza kusaidiwa? Nitashukuru sana kwa mawazo yako/yenu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.