Naomba msaada kuhusu taasisi ya kifedha au kampuni inayoitwa CGI (Magellan international)

Ngorunde

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2006
Posts
4,672
Reaction score
9,806
Wanajamvi Amani kwenu.

Tafadhali kwa yeyote mwenye kuijua taasisi ya kifedha au kampuni inayoitwa CGI (Magellan international) anipe mwanga jinsi inavyofanya kazi.

Ninatanguliza shukurani.
 
Jf mtandao mkubwa...hakuna anayefahamu hii taasisi!?
 
Kuwa mpole! Watakuja tu! Au huu Uzi ungeuweka kwenye habari na hoja mchanganyiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…