Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 4,672 Reaction score 9,806 Sep 23, 2018 #1 Wanajamvi Amani kwenu. Tafadhali kwa yeyote mwenye kuijua taasisi ya kifedha au kampuni inayoitwa CGI (Magellan international) anipe mwanga jinsi inavyofanya kazi. Ninatanguliza shukurani.
Wanajamvi Amani kwenu. Tafadhali kwa yeyote mwenye kuijua taasisi ya kifedha au kampuni inayoitwa CGI (Magellan international) anipe mwanga jinsi inavyofanya kazi. Ninatanguliza shukurani.
Ngorunde Platinum Member Joined Nov 17, 2006 Posts 4,672 Reaction score 9,806 Oct 4, 2018 Thread starter #2 Jf mtandao mkubwa...hakuna anayefahamu hii taasisi!?
Licking Wounds JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 3,979 Reaction score 5,146 Oct 4, 2018 #3 Kuwa mpole! Watakuja tu! Au huu Uzi ungeuweka kwenye habari na hoja mchanganyiko