Naomba msaada kuhusu tcu profiles

Naomba msaada kuhusu tcu profiles

Joined
Aug 1, 2013
Posts
60
Reaction score
1
Kwa wale waliofanya application za vyuo.na majina yametolewa na tcu kwa ambao hawajachaguliwa wengine majina yetu hayapo lakini tukiangalia selection status zetu kwenye profile zetu tunaambiwa "sorry you have not yet done application"naomba msaada wenu pls
 
Dah me mwenyew imentokea mkuu ila naungana na jamaa wa "system failure"
 
achen kama ilivyo xaxa jifanye unajua xana then huapply tena!utalia na mama yako kwnu
 
Back
Top Bottom