Jose de cosmas
Member
- Aug 1, 2013
- 60
- 1
Kwa wale waliofanya application za vyuo.na majina yametolewa na tcu kwa ambao hawajachaguliwa wengine majina yetu hayapo lakini tukiangalia selection status zetu kwenye profile zetu tunaambiwa "sorry you have not yet done application"naomba msaada wenu pls