kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 340
Ahsante mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] we jamaa mbona unafurahisha. Hizo ziunganishweje na gharama za gari wakati gari umenunua wewe, wao wataijuaje?
Hio hesabu wanayokupa ni tofauti kabisa na gharama za gari lako toka japan.
Ukitaka kupata jumla ya gharama, chukua unayopata kwenye calculator yani kodi, jumlisha CIF (gharama ya gari mpk bandarini), jumlisha gharama za bandarini hizo atakwambia agent wako atakaye clear gari, pia jumlisha pesa ya agent atakaetoa gari bandarini.
[emoji872][emoji872] kumbuka TRA wana formula yao ya kodi inayojenga msingi wake katika makadirio yao ya CIF ya gari husika.
Uki peak gari ambayo wao wanaikadria sokoni bei yake ni kubwa basi kodi pia itakuwa kubwa.
Kadri gari inavokuwa mpya zaidi kwa miaka ndivyo kodi pia inakuwa kubwa, kadri gari inavyokuwa luxury zaidi ndivyo kodi pia huwa kubwa
Kila la heri!
Ahsante mkuu
kabisa, yani kodi inazidi bei ya gari?Mkuu kodi ndio inayofanya watu warundikane kwenye old baby Walker
Bongo ni mwendo wa kukomoana tu..kabisa, yani kodi inazidi bei ya gari?
[emoji16][emoji16][emoji16]...nacheka kama mazuriHabari za muda huu wakuu? Samahani naomba msaada kuhusu Calculator ya TRA, ninataka kuagiza gari sasa nimejaribu kukokotoa naona gharama inakuwa kubwa sana sasa nilitaka kujua kuhusu gharama za kikokotoo zinakuwa zimeunganishwa na bei ya gari?
Kimola mh umenifanya nichoke asilimia 110 + cifIpo hivi...cheki hiyo gari huko kwa mjapenga cif yake dolaree ngapi, badili into pesa ya madafu..hiyo utakayopata tafuta asilimia 110 yake ( yes 110%).. Hiyo ndio utakayolipa serikali..kwa hiyo bei ya cif + 110% ndio kiasi utakacho gharamika.
Hapa kuna harufu ya kuingia mkenge !! Maana ukiegemea calculator ya TRA tuu utajikuta unashindwa kutoa gari bandarini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] we jamaa mbona unafurahisha. Hizo ziunganishweje na gharama za gari wakati gari umenunua wewe, wao wataijuaje?