mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Marehemu bibi yetu alifariki kitambo sana, na alizaa watoto wawili wa kike, ambao walikuwa ni mama zetu mkubwa na mdogo nao pia walifariki kitambo sana.
Nyumba aliyoiacha marehemu bibi yetu bado inasomeka kwa jina lake mpaka sasa. Nyumba hii ilileta mgogoro upande wa kodi inyopatikana, baadhi yetu waliwatendea ndivyo sivyo mapato ya Kodi yatokanayo na hiyo nyumba, tukaweka kikao cha kugawana vyumba, lakini kelele haziishi, tumeamua kuiuza hiyo nyumba ili kila mmoja apate chake tuachane, jumla yetu ni watu kumi wa mama mdogo na mmoja wa mama mkubwa.
Ifahamike nyumba hiyo ni nguvu ya marehemu bibi yetu bila mshirika.
Naomba kufahamu nyumba hii ikiuzwa tunagawanaje?,pasu kwa pasu au kunataratibu ambazo haziruhusu pasu