sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Msimamizi wa mirathi hana conflict of interest, si amepewa na mahakama kwa nyie kumkubali (hamjampinga). Sawa, kaeni mjadiliane mnagawanaje, lakini ushapewa angalizo mzilazimishe mnavyotaka kumpa kidogo huyo mwenzenu aliye mmoja.
Mkicheza cheza hamtagawana hiyo mali na mtaishia kuuana. Kafanyeni vikao kwa mkuu wa Wilaya au kwenye dini yenu wawasaidie kuwaongoza kwenye mgao halafu huyo msimamizi achukue mapendekezo na kuyatekeleza.