Wewe unataka ushauri auMkuu nimekuelewa,lakini mama zetu walifariki na hawakuwahi kurithishwa mali hiyo kwa maandishi,ispokuwa mahakamani kuna maandishi yakisema wajukuu ndio warithi wa hiyo mali .
Kiserikali mkuuKABLA SIJAJIBU... NATAKA NIFAHAMU... UNATAKA IGAWANYWE KIDINI(KIISLAAM) AU KISERIKALI?
KAMA NI KIDINI... BADO KUNA TAARIFA BADO NAZIHITAJI... TAARIFA HAZIJITOSHELEZI.
JIBU KWANZA ALAFU NDIO NIKWAMBIE TAARIFA GANI BADO ZIMEPELEA.
Sheria ziko wazi mbona mrithi ni mtoto au watoto wa marehemu kama MAREHEMU hakuwa na watoto mali inarithiwa na wazazi wa marehemu kama BABA au MAMA kama wapo.Mkuu nifafanulie vizuri,hii nyumba haikuwa ya mama zetu,ilikuwa ya bibi yetu iweje mgawanyo uwe wa matumbo?,hebu nipe hicho kifungu kinachoeleza huo mgawanyo nikipitie kaka,natanguliza samahani
Tatizo liko hapo... Mtoto mmoja alizaa team mwingine alizaa kizungu... Sasa mleta mada yupo kwenye team kubwa!Sheria ziko wazi mbona mrithi ni mtoto au watoto wa marehemu kama MAREHEMU hakuwa na watoto mali inarithiwa na wazazi wa marehemu kama BABA au MAMA kama wapo.
Sasa hapo BIBI yako si ana watoto wawili aliye wazaa kimsingi ndio warithi halali wa nyumba ya BIBI yako na ndio wenye haki ya kurithi hiyo Nyumba naikitokea nawao wamefariki basi nawao watarithiwa na watoto wao sasa hapo tatizo lipo wapi? Au mzazi mmoja ana timu ya mpira na mwingine alizaa kizungu?
Mpaka hapa ashaelewa somo, kama ataenda kufanya dhulma, ni yeye.Tatizo liko hapo... Mtoto mmoja alizaa team mwingine alizaa kizungu... Sasa mleta mada yupo kwenye team kubwa!
Basi hapa sina elimu nako.Kiserikali mkuu
Basi mleta maada Kama anamuonea wivu mwenzake aliyezaliwa pekee yake,basi na yeye awapunguze ndugu zake anavyojua yeye ili na yeye abaki peke yake,alafu ndiyo nae atapata hiyo asilimia 50 ya Mali ya Bibi yake!!Tatizo liko hapo... Mtoto mmoja alizaa team mwingine alizaa kizungu... Sasa mleta mada yupo kwenye team kubwa!