Nimewekeza jana kwenye mfuko wa ukwasi ( liquid fund) nimeweka milion 7 hasa leo nimeangalia salio hapa inanionesha hivi naombeni msaada kwa wazoefu. Mimi nilikuwa nafikiri nitaikuta hela yangu yote na maongezeko kidogo, naombeni msaada wa elimu kidogo kwa wazoefu mbona haioneshi hela yangu yote 7 M inaonesha ivyo.