Naomba msaada kuhusu Vyuo vya Pharmacy

Naomba msaada kuhusu Vyuo vya Pharmacy

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,830
Reaction score
4,729
Habarini za wakati huu, Tafadhali naomba msaada kujua vyuo vya ufamasia, miezi ya kuanza kwa admission za vyuo hivyo na gharama. Mini nimemaliza kidato cha nne mwaka huu na ninahitaji kujiunga na diploma moja kwa moja matokeo yangu [TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]GPA2.4
[/TD]
[TD="width: 4%"]CREDIT
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B+' PHY - 'E' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'F' FOOD - 'X'
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ahsanteni sana.
 
muhimbili,kampala,kilimanjaro school of pharmacy,nadhan hata bugando wana diploma hyo,ruco_iringa
 
Kwa serikalini kipo kimoja tuu muhimbilii but kama private vya kutosha mbakaa uchochoronii
 
Habarini za wakati huu, Tafadhali naomba msaada kujua vyuo vya ufamasia, miezi ya kuanza kwa admission za vyuo hivyo na gharama. Mini nimemaliza kidato cha nne mwaka huu na ninahitaji kujiunga na diploma moja kwa moja matokeo yangu [TABLE="width: 70%"]
[TR]
[TD="width: 6%"]GPA2.4
[/TD]
[TD="width: 4%"]CREDIT
[/TD]
[TD="width: 58%"]CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'B+' PHY - 'E' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'F' FOOD - 'X'
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ahsanteni sana.

Muhimbili na admision mwisho tarehe 29 may kwa matokeo hayo sikushauri sana kuomba sahizi kwa muhimbili subiri mwezi wa kumi second around itakapo fanyika kwann nasema hivyo wanangalia masomo 5 na sio GPA masomo hayo ni physics,chemistry,biology,english,na mathematics uwe na C na kuendelea kwa zile grade za zamani sasa hapo naona una E Na F afu ndo masomo muhimu....... so ushauri ndo huo unaweza kufuata au usifuate
 
Ndugu unaeza poteza ela ya aplcatn coz uto tu f na E kwa ayo nasomo sizan AF muhmbl!
 
dgo mbn hesabu imekuangusha,,hpo serikali cdhan km private vingi,,ingia tovuti ya afya
 
Dogo kama unaweza toka moyoni risiti maths na physcs cz maths itakusaidia mbele kwa mbele
 
Back
Top Bottom