Naomba msaada kujua kama tatizo la simu hii ni Software au Network Lock!

Naomba msaada kujua kama tatizo la simu hii ni Software au Network Lock!

Kisiwa

Senior Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
125
Reaction score
20
Watalaam wa htc one, nimekuja tena. Safari hii naomba niweke data/information ili ziwasaidie katika kuamua kama hii simu yangu ni LOCKED, TATIZO LINGINE LA SOFTWARE AU NI TATIZO LA HARDWARE.
Awali ya yote niliipeleka kwa mhindi mmoja ambaye ni dealer wa Samsung akaniambia inabidi adownload version ya 4.4 ili aone tatizo ni nini.Baada ya siku 2 akanipigia simu kuwa nikaichukue ameshindwa. Akaniambia amejaribu kudownload hapati version ya hii model ya simu
NILICHOONA KUHUSU HII SIMU
:Ni htc one m7. Ilikuwa inatumia mtandao wa t-mobile huko USA
:ANDROID VERSION-4.1.2
:HTC sense version - 5.0
:Imei- ipo ipo digit 15
:IMEI SV- 02
😀EVICE SERIAL NUMBER- Ipo inaanza na FA
:IMIS- Ipo 15 digit

KUTOKA PLAY STORE NIKADOWLOAD SIM CARD APP NIKAPATA TAARIFA ZFUATAZO
:SIM CARD STATE-network locked
:SIM SERIAL NUMBER- zipo digit 8
:SIM COUNTRY ISO - tz
:SIM OPERATOR NAME- tigo (nimeweka line ya tigo)
:SIM IMES- zipo digit 15
😛HONE TYPE- gsm
😀EVICE IMEI- zipo digit 15
😀ATA CONNECTION STATUS- disconnected. IP traffic not available

NIKITOA LINE INASEMA
unable to detect your SIM card. Please make sure that your SIM card is properly inserted

NIKIWEKA LINE INASEMA
no service

NIKISEARCH NETWORK OPERATORS INASEMA
yiur SIM card does not allow connections to this network

NIKIWEKA LINE
tigo services na contacts naziona

Ni matumaini yangu kuwa taarifa hizi zitawasaidia watalaam kubaini tatizo la simu yangu
Nipo Mwanza
Ukihitaji maelezo zaidi waweza nipm # yako nitakupigia kwa ufafanuzi zaidi
Karibuni
cc: Mwl.RCT, shiny c, MimiTena chief-mkwawa, Kiranga Younger master


....UPDATE.......
Baada ya kufanyia kazi uzi huu. Nimeconclude kuwa hii Simu niUNLOCKED. Hivyo ina tatizo la HARDWZRE -Network
 
Last edited by a moderator:
Gharama yake ni TZS. 60,000/= Inatakiwa serial number na IMEI number ya simu. In akuwa tayari baada ya dk. 15


Kwa Maelezo zaidi piga 0655 337303
 
kaka kuna mambo mawili hapo.

ipo locked kwenye mtandao. waone jamaa wanao unlock simu.

imetengenezwa kwa ajili ya t-mobile. hapa sahau maana frequency ya t mobile yaani 1700 ni yao peke yao hapa hata aje fundi gani hawezi kukusaidia.
 
Inatakiwa unlocking code tu hiyo simu coz hizo ni simu za contract na t-mobile nimeshafumgua simu kama 50. As long as ni Ina support gsm haina tatizo inafunguka.
 
Tuma serial number na IMEI ya simu niicheki kwenye system
 
Gharama yake ni TZS. 60,000/= Inatakiwa serial number na IMEI number ya simu. In akuwa tayari baada ya dk. 15


Kwa Maelezo zaidi piga 0655 337303

Fanya 40,000 mkuu. Ukiifungua nakurushia kwenye mpesa
 
Yeah ndiyo maana yake na ndiyo safe kuliko ya kutumia software yenyewe unapewa tu unlocking code
 
Back
Top Bottom