Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay. Ngoja tujaribu na jahgun tuone tutafikia wapi. asante mkuuUkitaka simu yako ifanye kazi kwa ufanisi inahitaji kubadilisha T-Mobile carrier kwenda any mobile carrier. Kama mtaalamu kidogo nenda hapa
htc-one.wonderhowto.com/how-to/get-your-htc-one-m7-ready-for-different-mobile-carrier-0151867/
Kama hauwezi njoo nayo kahama nikufanyie hiyo kazi
Okay. Many thanksNimecheki hapa itakuwa fresh, ngoja niweke hela kwenye bank card yangu niliyolink na paypal ili niweze kununua kesho huwa siiachi hela kwenye hizi card za kulipia online kwa sababu kuna watu wanna hack kwenye account yako na kutumia hela so kesho asbh itakuwa bomba
kaka kuna mambo mawili hapo.
ipo locked kwenye mtandao. waone jamaa wanao unlock simu.
imetengenezwa kwa ajili ya t-mobile. hapa sahau maana frequency ya t mobile yaani 1700 ni yao peke yao hapa hata aje fundi gani hawezi kukusaidia.
Mazee simu za kampuni gani za US zinaweza kufanya kazi bongo? Hata kwa kuwa unlocked na fundi?
Najua Sprint is out of the question na T-Mobile ni kama ulivyosema.
Vipi AT&T na Verizon?
Mr. mi yangu OPPO FIS NIKIWEKA LAINI ZINAONESHA MAJINA YOTE ILA SEHEMU YA MTANDAO INAANDIKA NO SERVICE MUDA WOTE SHIDA NI NINI HAPOOk ngoja niicheki