Asante but sometimes there are paranormal occurrences that can mean something in life. I am just inquisitive na ndio maana nimekuja kwenye jukwaa kuona kama yeyote anaweza kuelewa chochote nisije nikatupa kwenye dust bin kitu chenye maana. AsanteKifupi, kama hujui chanzo chake wala maana yake basi huo ujumbe haukukusudiwa uwe wako? Kwani usipojua maana yake unapungukiwa nini?
Ni karatasi ilikuwa mfukoni kwangu wakati wote ndio maana sielewiAsante but sometimes there are paranormal occurrences that can mean something in life. I am just inquisitive na ndio maana nimekuja kwenye jukwaa kuona kama yeyote anaweza kuelewa chochote nisije nikatupa kwenye dust bin kitu chenye maana. Asante
WE hicho kikaratasi umekitoa wapi?
Niko nyumbani mkuuUnatumia kinywaji aina gani hapo ulipo?
Nakushauri ulipe uende nyumbani ukalale kabisa vinginevyo utafanya vituko kama utaendelea kuwa hapo na kutumia simu
Ni cha kwangu mkuu kilikuwa mfukoni kwa muda maana kuna vitu nilikuwa nimeandika na sikuwa na muda wa kuvihamishia kwenye computer au note bookWE hicho kikaratasi umekitoa wapi?
Mh! Mama amesafiri kidogo na huo si mwandiko wakeNaona tu majina ya siku na wiki. Huenda alikuwa anapanga bajeti
Karatasi ni yangu na nimekuwa nikitembea nayo kwa zaidi ya wiki mbili. Kuna vitu vindi nimeandika humo. Ni karatasi ya A4. Sasa huyu aliyeandika calculations zake za period ni nani? Mhh!!!!!!Wewe hicho kikaratasi umekitoa wapi.....?
Anyway.....ni namna ya kucalculate siku za period.....kujua siku za hatari.......
Nilipita mkuu nikapiga virikuu vichache nikaondoka ila huo si mwandiko wangu!Hii wiki hujapitia bar ? Ukute ulikuwa unamuandikia barmaid adondoshe konyagi , Savana na safari ila kwa lugha ya kipombe pombe.
Kwa nini?Kama una binti aliyevunja ungo kampime Mimba!!!