I mean kila siku nina makaratasi kadhaa na huwa siyatupi mpaka nihakikishe nilichokiandika humo either hakina maana tena au nimekirekodi mahali salama kabla ya kukitupa. Sijamaanisha ilikuwa kwenye nguo moja au briefcase moja kwa wiki mbili!!!!!!!!!!!!!WEWE NI MCHAFU HUFUI NGUO WALA HUBADILISHI NGUO NA SIJUI KAMA HATA KUOGA UNAOGA.
kwahyo mfukoni kimetoa wapi hayo maandishi?Ni cha kwangu mkuu kilikuwa mfukoni kwa muda maana kuna vitu nilikuwa nimeandika na sikuwa na muda wa kuvihamishia kwenye computer au note book
Hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa. Ndiyo maana nimeomba kama kuna mtu anaweza kufanya deciphering ya hiyo message just in case it is a coded messagekwahyo mfukoni kimetoa wapi hayo maandishi?
Nimejaribu kuvuta kumbukumbu kama nilimpa mtu hiyo karatasi for whatever reason lakini sikufanikiwaHapo ndipo ninaposhindwa kuelewa. Ndiyo maana nimeomba kama kuna mtu anaweza kufanya deciphering ya hiyo message just in case it is a coded message
....AHSANTE KWA UFAFANUZI WA HEKIMA NA BUSARA!I mean kila siku nina makaratasi kadhaa na huwa siyatupi mpaka nihakikishe nilichokiandika humo either hakina maana tena au nimekirekodi mahali salama kabla ya kukitupa. Sijamaanisha ilikuwa kwenye nguo moja au briefcase moja kwa wiki mbili!!!!!!!!!!!!!
Ila umenichekesha.
Mh!Mwandiko wa mtoto huo
Miaka takribani 10 iliyopita usingeweza kukuta Uzi kama huu hapa JF!Habari wakuu,
Huu uzi nilitaka kuuweka kwenye jukwaa la sayansi na teknolojia lakini nimeona huenda kuna watu ambao hawatembelei kule na wanaweza wakawa na msaada. Kwa kweli ni kama muujiza tu.
Mimi nina kawaida ya kutembea na note book au karatasi na kalamu muda wote ili nikiwa na chochote ninachohitaji kuandika nifanye hivyo. Kuna karatasi ambayo nimekuwa nayo mfukoni kwa takribani wiki tatu na nilikuwa naangalia kama kuna lolote la maana nilihamishie kwenye note book ili niitupe.
Vitu vyote vilivyoandikwa mle nakumbuka vina maaana gani. Nyingi ni namba za simu na maelezo mengine wakati nikiwa na maongezi na watu. Ila nimekutana na haypo maandishi hapo kwenye picha (ya wino mweusi) ambayo sielewi yana maana gani na nani ameandika. Mwenye ujuzi wa kuelewa maana anisaidie. Is it a coded language au ni kitu gani?
Naelewa. Code ziko za namna nyingi tangu enzi za kale na nyingi mpaka sasa watu wameshindwa kuzi-decode. Nashukuru kwa michango yenu. Maybe it is something useless so I will throw the paper away!codes znalenga kupeleka ujumbe fulan kwa wahusika ambao hawatak watu wengne wasiohusika kuelewa kinachoendelea.
maana ya codes inategemea na hao wanaowasiliana wanataka code ipi iwe na maana ipi.
Znatumiw sana na watu wa mambo ya security
nakumbusha miaka hiyoooo kitaan tulikuwa na lugha ye2 ya kutumia codes wenyew tukielewana.
Namaanisha kaandika mtoto kwenye hiyo karatasi
[emoji2][emoji2]Mbona kitu rahisi sana apo umeshindwa nin kuelewa hapo mama kaandaa records ya idadi ya kilo za nyama katika siku saba za week kam ifutavyo
Jt-1 (jumatatu kilo 1)
Al-2(alhamis kilo2)
W-3(Wednesday 3kg)
Nk
Kizinga kinatengenezwa kwa mzee, tulia ule nyama ww
Umesema huwa unatembea na karatasi au notebook unaandika andika na kuwa umekusudia kuhamisha maandishi hayo uitupe karatasi hiyo?Habari wakuu,
Huu uzi nilitaka kuuweka kwenye jukwaa la sayansi na teknolojia lakini nimeona huenda kuna watu ambao hawatembelei kule na wanaweza wakawa na msaada. Kwa kweli ni kama muujiza tu.
Mimi nina kawaida ya kutembea na note book au karatasi na kalamu muda wote ili nikiwa na chochote ninachohitaji kuandika nifanye hivyo. Kuna karatasi ambayo nimekuwa nayo mfukoni kwa takribani wiki tatu na nilikuwa naangalia kama kuna lolote la maana nilihamishie kwenye note book ili niitupe.
Vitu vyote vilivyoandikwa mle nakumbuka vina maaana gani. Nyingi ni namba za simu na maelezo mengine wakati nikiwa na maongezi na watu. Ila nimekutana na haypo maandishi hapo kwenye picha (ya wino mweusi) ambayo sielewi yana maana gani na nani ameandika. Mwenye ujuzi wa kuelewa maana anisaidie. Is it a coded language au ni kitu gani?
Kwa hiyo uliandika mwenyewe halafu unataka tukupe fasiri ya uandishi wako mwenyewe?Ni cha kwangu mkuu kilikuwa mfukoni kwa muda maana kuna vitu nilikuwa nimeandika na sikuwa na muda wa kuvihamishia kwenye computer au note book