Naomba msaada kujua maandishi haya yana maana gani

Yanakutahadharisha na hicho kiherehere chako cha kuandika hata visivyokuhusu
 
Hapo umeandika siku za hatari. Siku ambazo unaweza pata Mimba.ndo umeandika alhamis,jumanne n.k nadhani ulikuwa na appointment na your boyfriend akitaka ukamtembelee ghetto ndo ukaanza calculation. Pia uwe unakunywa pombe kwa kiasi kuepusha usahaulifu.
 
Karatasi ni yangu na nimekuwa nikitembea nayo kwa zaidi ya wiki mbili. Kuna vitu vindi nimeandika humo. Ni karatasi ya A4. Sasa huyu aliyeandika calculations zake za period ni nani? Mhh!!!!!!

Sasa kama ni karatasi yako......na ni wewe umeandika......unatuchosha nini meku....?...
Upo Sawasawa kweli arawaa........?......
 
Karatasi ni yangu na nimekuwa nikitembea nayo kwa zaidi ya wiki mbili. Kuna vitu vindi nimeandika humo. Ni karatasi ya A4. Sasa huyu aliyeandika calculations zake za period ni nani? Mhh!!!!!!
Tukuulize we sasa,karatasi si yako unatembea nayo!!!??
 
Huwezi kukumbuka unakoenda kama umesahau ulipotoka.​
​
 
Usije kuta kisaidizi cha kwenye paper mwenye code zake anajua hapo jibu la tatu ni..., la nne ni.... ukija wewe patupu!!’
 
Karatasi ni yangu na nimekuwa nikitembea nayo kwa zaidi ya wiki mbili. Kuna vitu vindi nimeandika humo. Ni karatasi ya A4. Sasa huyu aliyeandika calculations zake za period ni nani? Mhh!!!!!!
Kuna uwezekano pia hayo maandishi yalikuwepo hata kabla hujapata hicho kikaratasi.

Mean,ulipoona plain upande mmoja ukajua kote kupo hivyo kumbe upande mwingine umeandikwa[emoji41]
 
Kuna uwezekano pia hayo maandishi yalikuwepo hata kabla hujapata hicho kikaratasi.

Mean,ulipoona plain upande mmoja ukajua kote kupo hivyo kumbe upande mwingine umeandikwa[emoji41]
Jibu zuri. Asante!
 
Daa aisee[emoji1787][emoji1787]

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…