Naomba msaada kupata gwanda (sare) ya CHADEMA

Naomba msaada kupata gwanda (sare) ya CHADEMA

Sijui kama CCM watakununua safari hii na sina hakika kama utafanikiwa kuwa kurudi ndani ya CDM.
 
Baada ya zuio kuondolewa naomba mtu mmoja anisaidie kupata gwanda la chadema suruali +shati+ kofia,
Ama hata kimojawapo
Karibu PM tuyajenge Kwa aliye tayari
Nunua kitambaa, shona kuanzia soksi, boksa, vest, mkanda wa suruali na full combat
 
2025 kitaumana kwa wale baadhi ya wabunge waliobebwa saana na influence ya JPM.
Bunge litapendeza sana.
Kila la heri kwa wanasiasa wa vyama vyote.
 
Back
Top Bottom