Naomba Msaada kusafisha meno

Naomba Msaada kusafisha meno

lunatic

Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
63
Reaction score
19
Habari wakuu Naomba Msaada jinsi ya kusafisha meno kwa njia ya asili au yoyote ile na yaka ng'aaa vizurii
 
Habari wakuu Naomba Msaada jinsi ya kusafisha meno kwa njia ya asili au yoyote ile na yaka ng'aaa vizurii
nenda ebay tafuta: LED Sonic Teeth Tooth Stain Eraser Cleaning Whitening Polishing Plaque Remover
 
nenda ebay tafuta: LED Sonic Teeth Tooth Stain Eraser Cleaning Whitening Polishing Plaque Remover
Mkuu samahani kama una Maelezo ya ziada juu ya hiyo dawa naomba tafadhali mana arachuga imearbu meno mkuu
 
Nlitumia chumvi na carbonate swakia mara 2 utaleta mrejesho njia asili na cheao
 
Back
Top Bottom