Habari zenu wanachama,
Tafadhali zingatia tafsiri hizi:
"I gave my brother a bicycle" => "Nilimpa kaka yangu baisikeli"
"My brother was given a bicycle by me." => "Kaka yangu alipewa baisikeli na mimi."
"A bicycle was given to my brother by me." => "Baisikeli ilimpewa kaka yangu na mimi."
Sentensi za Kiswahili zote ni sahihi, au la? Nahisi tafsiri ya tatu siyo sahihi, lakini mimi sijui vihusishi vya Kiswahili vizuri kiasi cha kutosha.
Labda: "Baisikeli ilipewa kwake kaka yangu na mimi." ??