Nimepokea message hii kutoka kwa mdau anayelipa hela yangu kwa installment. Sasa kuna kiasi ambacho ameshalipa tayari na kuna kiasi ambacho kimebakia. Leo kaniandikia ujumbe "send to me the total balance due". Hiki ni kiasi ambacho ameshalipa tayari au ni kiasi kilichobakia? Please tusaidiane maana wengine tuling'ang'ania physics hatukuwahi kusoma accounts. Thanks JF.
Mbona kama haikuhitaji Accountants na Auditors kujua alichoandika hapo? Mimi naona issue hapo ni kiinglish zaidi, yaani mtu yeyote anayejua inglish ataelewa.
Balance = Salio/kiasi
Due = kilichofikia muda wa kulipwa/iliyobaki.