mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,192
- 5,743
Nimepokea message hii kutoka kwa mdau anayelipa hela yangu kwa installment. Sasa kuna kiasi ambacho ameshalipa tayari na kuna kiasi ambacho kimebakia. Leo kaniandikia ujumbe "send to me the total balance due". Hiki ni kiasi ambacho ameshalipa tayari au ni kiasi kilichobakia? Please tusaidiane maana wengine tuling'ang'ania physics hatukuwahi kusoma accounts. Thanks JF.