Naomba msaada kutoka kwa daktari

Naomba msaada kutoka kwa daktari

shemahenga

Senior Member
Joined
Jun 28, 2015
Posts
130
Reaction score
51
Anasumbuliwa na tumbo baada ya kujalibu kutoa mimba ya mwezi mmoja kwa kutumia dawa ambazo mbili unameza nyingine unaweka chini ya uke karibu na kizazi. Afanyaje?
 
namshauri aendelee kusumbuliwa tu maana ameyataka. Nikiskia mtu anataka kutoa mimba najiskia kitapika mi nimekaa na wife miaka miwili natafta mimba nimekuja kufanikiwa two months ago af we unataka tukusaidie kuua
 
Back
Top Bottom