Masoud Waukweli
Member
- Apr 21, 2014
- 17
- 2
Tatizo nina uvimbe mdogo kwenye kon ambao nime dumu nao takriban miaka minne sasa Lakini haupungui wala hauzidi isitoshe bado hauja wahi kuniletea matatizo yoyote kama vile kuuma Nk. Kwa hiyo naomba msaada kujua tatizo langu pamoja na tiba yake isije kutokea madhara hapo baadae.