Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Hili la kubambikiza kesi hata JPM analifahamu.
Suala la haki halina ushabiki wa vyama wekeni kando Uchadema, hawa watumishi wa chini ndio wanamkwamisha JPM.Kuna tukio lilitokea Mwanza mwaka jana,kwa ufupi mwanajeshi na mgambo waliwapiga watuhumiwa, ndani ya ofisi ya kata, mmoja alifariki. Polisi walidanganya marehemu aliuwawa na wananchi.
Baadae mke wa marehemu alimuona mkuu wa mkoa,na upelelezi ukafanyika na maelezo yakachukuliwa,na kesi ilikuwa imefunguliwa. Jalada lilienda kwa mwanasheria wa mkoa.
Lakini mpaka hivi sasa watuhumiwa hawajakamatwa. Mwanasheria wa mkoa anasema ameshafungua mashitaka anasubiri watuhumiwa wakamatwe,ila Rco anawakingia kifua. Naomba msaada mwenye namba ya Dpp ili aweze kusaidia.
Suala la haki halina ushabiki wa vyama wekeni kando Uchadema, hawa watumishi wa chini ndio wanamkwamisha JPM.
Tatizo lako wewe unabase kuangalia wanaCdm wanaopigwa mabomu au kuenguliwa bila kuangalia chanzo.Unataka kutukumbuka kama kina Zuchu yanapowakuteni?
Kwani wewe unadhani yale mabomu ya Serengeti, ifakara, kahama etc; Ile engua engua za wagombea; Ile simamisha simamisha ya wagombea kukampeni nk; zinatofauti yoyote na hizi bambikizi ambazo mzizi wake ni kutokuwapo kwa haki unakokuongelea leo hapa mburula wewe? Tuseme wewe ndiyo kwanza umetoka sayari nyingine?
Yapo mengi mno bwana Mawingu. Kwamba tumechoka? Tumechoka kweli kweli!
La maana ambalo jiwe angefanya hapa tulipo, ilikuwa kukabidhi nchi kwa amani akaenda zake kuchunga ng'ombe na farasi wake Chatto.
Serikali mpya haitakuwa na visasi kama yake.
Ahaaaa,ya Dpp huwezi kuipata kituo cha polisi.Nenda kituo Cha POLISI uwa wanaandika namba zao.
Tatizo lako wewe unabase kuangalia wanaCdm wanaopigwa mabomu au kuenguliwa bila kuangalia chanzo.
Mimi nataka haki sawa kwa kila mtanzania,ndio maana JPM huwa anawatumbua watumishi wanaokandamiza haki za wananchi.
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka.Ahaaaa,ya Dpp huwezi kuipata kituo cha polisi.
Chanzo cha watu au wanasiasa kunyimwa haki zao ndio suluhu hapa.Hukuwahi kusikia nyani huwa haoni kundule jombi?
Ungejiridhisha kuona kama unaona lako mjomba?
Hii ni ya makarani wake tu, sisi tunataka kumtwangia ya mkononi, maana mwendesha mashitaka mkoa wa mwanza ananyima watu haki zao.Ofisi ya Taifa ya Mashtaka.
Anwani/Mahali OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA, Chuo cha Masomo ya Biashara na Sheria cha Chuo Kikuu cha Dodoma- UDOM, S.L.P 1733, Dodoma,Tanzania
Simupapo: +255 26 2963634
Nukushi: Nō: +255 26 2963635
Barua Pepe: dpp@nps.go.tz
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]jibu konkiChanzo cha watu au wanasiasa kunyimwa haki zao ndio suluhu hapa.
Sio wote wanaonewa pia. Kuona kundule nyani akitumia kioo analioana.
Sasa father una namba za JPM unakosa za Mganga?. Ningekupa ila kwa vile wewe ni CCM Mpumbavu pambana na chama chako.Hii ni ya makarani wake tu, sisi tunataka kumtwangia ya mkononi, maana mwendesha mashitaka mkoa wa mwanza ananyima watu haki zao.
Hapo kweli ukipata ya mkononi mchezo umeisha.Hii ni ya makarani wake tu, sisi tunataka kumtwangia ya mkononi, maana mwendesha mashitaka mkoa wa mwanza ananyima watu haki zao.
Kaka mimi nipo Nccr mageuzi ndio maana unaona sina hizo namba.Sasa father una namba za JPM unakosa za Mganga?. Ningekupa ila kwa vile wewe ni CCM Mpumbavu pambana na chama chako.
Ahaaaa,ya Dpp huwezi kuipata kituo cha polisi.
Basi tumia kioo jombi.Chanzo cha watu au wanasiasa kunyimwa haki zao ndio suluhu hapa.
Sio wote wanaonewa pia. Kuona kundule nyani akitumia kioo analioana.
Raisi wa wanyonge tayari ana taarifa zake. Wewe tulia hivyo hivyoKuna tukio lilitokea Mwanza mwaka jana,kwa ufupi mwanajeshi na mgambo waliwapiga watuhumiwa, ndani ya ofisi ya kata, mmoja alifariki. Polisi walidanganya marehemu aliuwawa na wananchi.
Baadae mke wa marehemu alimuona mkuu wa mkoa,na upelelezi ukafanyika na maelezo yakachukuliwa,na kesi ilikuwa imefunguliwa. Jalada lilienda kwa mwanasheria wa mkoa.
Lakini mpaka hivi sasa watuhumiwa hawajakamatwa. Mwanasheria wa mkoa anasema ameshafungua mashitaka anasubiri watuhumiwa wakamatwe,ila Rco anawakingia kifua. Naomba msaada mwenye namba ya Dpp ili aweze kusaidia.