Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameshapewa mlungula tayari,hawezi kuwasikiliza.Wahusika mnawajua!Hii ni ya makarani wake tu, sisi tunataka kumtwangia ya mkononi, maana mwendesha mashitaka mkoa wa mwanza ananyima watu haki zao.
Kwanini msifanye kama wao walivyo fanya kiaina?Tunawajua, tutakomaa mpaka mwisho.
Haki ipo njiani, huwa inacheleweshwa tu.Kwanini msifanye kama wao walivyo fanya kiaina?
Haki ipo njiani, huwa inacheleweshwa tu.