Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 8, 2020 #21 Poleni sana... Inasikitisha sana... Cc: mahondaw
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Nov 19, 2020 #22 chagu wa malunde said: Hii ni ya makarani wake tu, sisi tunataka kumtwangia ya mkononi, maana mwendesha mashitaka mkoa wa mwanza ananyima watu haki zao. Click to expand... Ameshapewa mlungula tayari,hawezi kuwasikiliza.Wahusika mnawajua!
chagu wa malunde said: Hii ni ya makarani wake tu, sisi tunataka kumtwangia ya mkononi, maana mwendesha mashitaka mkoa wa mwanza ananyima watu haki zao. Click to expand... Ameshapewa mlungula tayari,hawezi kuwasikiliza.Wahusika mnawajua!
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Nov 19, 2020 #23 chagu wa malunde said: Tunawajua, tutakomaa mpaka mwisho. Click to expand... Kwanini msifanye kama wao walivyo fanya kiaina?
chagu wa malunde said: Tunawajua, tutakomaa mpaka mwisho. Click to expand... Kwanini msifanye kama wao walivyo fanya kiaina?
Chagu wa Malunde JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 8,734 Reaction score 5,750 Dec 6, 2020 Thread starter #24 Msingida said: Kwanini msifanye kama wao walivyo fanya kiaina? Click to expand... Haki ipo njiani, huwa inacheleweshwa tu.
Msingida said: Kwanini msifanye kama wao walivyo fanya kiaina? Click to expand... Haki ipo njiani, huwa inacheleweshwa tu.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 9, 2021 #25 chagu wa malunde said: Haki ipo njiani, huwa inacheleweshwa tu. Click to expand... Chagu wa malunde nakubaliana nawe sasa umeamua kuisaka kweri. Au nasema uongo ndugu zangu?
chagu wa malunde said: Haki ipo njiani, huwa inacheleweshwa tu. Click to expand... Chagu wa malunde nakubaliana nawe sasa umeamua kuisaka kweri. Au nasema uongo ndugu zangu?
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Mar 9, 2021 #26 Chagu wa Malunde wachawi wenyewe hawa hapa: Wa kuanzia ni hawa hawa! Au nasema uongo ndugu zangu?