naomba msaada kwa shule ya private ya bweni kwa comb ya PCB

naomba msaada kwa shule ya private ya bweni kwa comb ya PCB

sam g

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
12
Reaction score
3
kwa yeyote anaejua shule kwa a -level private yenye mchepuo wa sayansi (PCB) pia iliyo na bweni...naomba msaada wenu mkoa wowote ule tz..pia cmbaya ukiniambia na garama zake kama unazifaham..
 
ubungo islamic high school
Shaban robert high school
St anthony mbagala high school kama we ke
 
ubungo islamic high school
Shaban robert high school
St anthony mbagala high school kama we ke

m wa kiume xo hizo zote zipo mkoa gan na vp kuhusu garama...?
 
Mkuuu shabaan robert haina bweni wala hostel.hostel za pale n za kujitegemea nje ya shule
 
Meta high school,mbeya mjini. Hostel ya uhakika boys and dadaz.....
 
Back
Top Bottom