Naomba msaada kwa tarehe hizi zipi ni za Mimba?

Naomba msaada kwa tarehe hizi zipi ni za Mimba?

siku ya 14 tangu siku ya kuanza mens ndio siku ya yai kushuka. Mbegu ya kiume ina uwezo wa kusurvive mpaka siku tatu ikiwa ndani tayari kurutubisha. So kutokea hiyo siku ya 14 hesabu siku tatu kabla mpaka siku tatu baada, nikiwa na maana ya kuanzia siku ya 11 mpaka siku ya 17 ndio kupindi cha kupata ujauzito.

Hiyo tisa, kumi ni kwamba binadamu kutengenezwa ni mipango ya kimbingu, mwenye dunia asiporuhusu hupati ng'o hata ukizingatia vipi huo mzunguko. Akiruhusu fasta tu kitu kinakubali.

Jaribu kugipa gemu kwenye hizo siku then utanipa feedback.
 
Asante mupiricon kwa taarifa nzuri, lakini kwa sisi ambao mizunguko yetu haipo kwenye mafungu hayo matatu uliyotaja tunafanyaje maana kwa mfano mimi mtiriko wangu wa siku mwaka jana ulikuwa hv 10.01.2012,
03.02.2012,
22.03.2012
16.04.2012
Nikajikuta nimepata ujauzito sasa nina mtoto na nimeanza kupata MP 27.03.2013 naomba unisaidie nijue siku hatari hapa maana huyu binti bado mchanga nikiteleza nitamtesa sana.

wewe kwa mtazamo wangu unacycle mbili ya 21 na 35, lakini kwa kufikiri kwa njia nyingine waweza kuwa na tatizo sasa nakushauri uende hospital ili hii cycle upewe dawa iwe regulated lakini pia ufanyiwe na vipimo vingine kama ultrasonography ili kujiridhisha kama hakuna uvimbe, hii itakusumbua kama ikienda hivi utapata mimba ambazo ujapanga. All the best
 
Salam wana jf Dokta.
Tafadhali ninaomba msaada taja hapo juu sina tatizo lolote pia si mtumiaji wa njia zozote za kupanga uzazi lakini tayari nina mtoto mmoja

Ni muda kidogo kama ninapojaribu mambo
huwa hola huenda labda nakosea tarehe husika
wanaojua siku sahihi naomba wanisaidie
pia tarehe za bleed ni kama zifuatazo hapa:-


16.10.2012

14.11.2012

12.12.2012

08.01.2013

05.02.2013

04.03.2013

02.04.2013

Hizi ndiyo tarehe za siku zangu lakini pia natanguliza shukrani kwa wote wataonishauri ili
mwezi huu nijaribu maana mtoto niliye nae ni wa Kike kama hata kuna namna ya kupata wa jinsia nyingine.

Kulingana na kalenda yako,mzunguko wako ni wa siku 28,hivyo uwezekano wa kupata mimba ni kuanzia siku ya 12 hadi ya 16. Angalizo: Mume anapaswa kuwa na muda wa kutosha kufanya mbegu ziwe zimekomaa vizuri,asitumie sana pombe au sigara wakati wa kusubiri kukomaa kwa mbegu. Kwa tarehe hzo hapo juu muda wako wa mimba ni kuanzia tarehe 13/4 hadi tarh 17/4. Ukitaka kulenga siku bora,ni ile unapokuwa unapata ute unaovutika uwe mwepesi ama mzito. Wakt huu huwa joto la mwili hubadilika,na huwa unapatwa hamu/ashki kubwa ya kufanya mapenzi. Wakt huo wahi bila kupoteza wakt,haijalish mchana,usiku,ama asubh,ikitokea tu changamka mpe vitu mshua na hutajutia. Ute mzito mtoto wa kike,mwepesi wa kiume. Sababu: mbegu za kike(X) ZINA MKIA MREFU NA ZINA UWEZO MKUBWA WA KUOGELEA Kwenye ute mzito hvy kuziwezesha kulifikia yai mapema na kirahisi na pia wakt wa ute mzito kunakuwa na hali ya tindikali ambayo ni unfavorable kwa (Y) mbegu ume. Mtoto wa kiume ute mwepesi. Timing needed. Kila la heri sis.
 
Asante mupiricon kwa taarifa nzuri, lakini kwa sisi ambao mizunguko yetu haipo kwenye mafungu hayo matatu uliyotaja tunafanyaje maana kwa mfano mimi mtiriko wangu wa siku mwaka jana ulikuwa hv 10.01.2012,
03.02.2012,
22.03.2012
16.04.2012
Nikajikuta nimepata ujauzito sasa nina mtoto na nimeanza kupata MP 27.03.2013 naomba unisaidie nijue siku hatari hapa maana huyu binti bado mchanga nikiteleza nitamtesa sana.

Mkuu kwa kweli lazima uwe makini maana ukiteleza tu unawezakuwa na mapacha wa nje

Ila utapatiwa maelekezo ya kutosha ili
angalau usijeingia matatizoni.
 
Ninavyofahamu siku za kushika mimba ni kama ifuatavyo,siku ya kumi na moja baada ya hedhi,12,13,14,15,16 na 17.Hizo zote zinauwezekano wa kushika mimba lakini siku ya 14 uwezekano ni mkubwa zaidi.

chukua tano mkuu, uko sawa kbs.
mm nilikutana na mwezi wangu siku ya 15 na sasa hv ni mama kijacho mtarajiwa.
Namshukru sana Mwenyezi Mungu kwa hili tukio.
 
Salam wana jf Dokta.
mwezi huu nijaribu maana mtoto niliye nae ni wa Kike kama hata kuna namna ya kupata wa jinsia nyingine.

Wale tunaoamini katika imani, Jinsi ya kumpata mtoto wa kiume / Kike. Dada lala na ubavu wa kulia wakati wa tendo na ukishamaliza endelea kulala na ubavu huo muda wa nusu saa = Dume na Jike fanya na lala na ubavu wa kushoto muda huo huo. Kama utataka mapacha katika mimba nyingine tuwasiliane kwa PM, ila test kwanza hizo.
Nimetest na nimebahatika Madume 2 niliyoyataka na jike 1 ambayo bahati mbaya alifariki tumboni wiki moja kabla ya mama kujifungua kutokana na homa kali.
 
Mkuu umetisha kwa imani
Lakini nimekukubali sana maana mila
na desturi muhimu lkn pia kuamini kitu
kwakuwa kimekutokea ni vema sana.

Bonge la ujuzi hilo Mkuu
Lete mengine km unayo.
 
Back
Top Bottom