Naomba msaada kwa ugonjwa huu.

Naomba msaada kwa ugonjwa huu.

Shunula

Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
72
Reaction score
15
Kwa muda wa siku tatu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na kitu kama minyoo inayotembea sehemu ya haja kubwa hivi huu ni ugonjwa gani na tiba yake nini?
 
Shunula,

Pole, ..Nianze kwa kusema tatizo hili hujitokeza mara kwa mara, Minyoo huathiri binadamu wa rika zote.

Jamii ya minyoo hawa huitwa minyoo sindano, Pinworn au Threadworm na kitaalamu huitwa Enterobius vermicularis.

Hawa hupatikana kwa njia ya kula mayai na mwezi mmoja baadae dalili za kuwashwa sehemu za siri (hasa sehemu ya kuzunguka eneo la Puru) , kukosa hamu ya chakula, n.k.

Kutokana na kuwashwa huku, hasa wakati wa usiku, wanafamilia au wanajumuiya wote huambukizana kwa kushikana mikono, yaani mayai kuwa katika kucha wakati wa kujikuna.

Tiba yake ni dawa za minyoo (Kuonana na daktari kutasaidia) kwani si vyema kimaadili kuandika dawa (dozi) hapa.Na vyema kukumbuka kuwa matibabu, hujumuisha wanafamilia WOTE(bila kujali ana dalili au la!)

Pamoja na hayo njia nzuri ya kujikinga ni kuzingatia usafi hasa;
-Kunawa mikono kabla ya chakula na mara utokapo msalani/chooni.
-Kukukata kucha/Kutotunza kucha ndefu.
-Kufua mashuka, nguo za kulalia mara kwa mara.
-Kuzingatia usafi binafsi (kuoga).

Nakutakia afya njema, mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Ndugu hapo kwenye red, naomba ufafanuzi kidogo, Je ni mayai ya kienyeji au kisasa? Inachangiwa na kutopikwa vizuri au ni nini? Kweli JF tunajifunza mengi!
 
Kwa muda wa siku tatu sasa nimekuwa nikisumbuliwa na kitu kama minyoo inayotembea sehemu ya haja kubwa hivi huu ni ugonjwa gani na tiba yake nini?
Inatembea au inatekenya ukiwa umelala usiku?Haka kaugonjwa bana!hebu meza Albendazole dose ya mkubwa, asubuhi kabla haujala chochote.Tafuna kwanza halafu unywe maji mengi.Then utani PM matokeo.
 
Anal itching can be caused by factors other than biotic ones (e.g. minyoo). Kmf. kula chakula chenye pilipili, kutokuosha na kukausha vizuru sehemu hiyo baada ya haja kubwa au hata allergy dhidi ya sabuni anayotumia. Kumshauri mgonjwa atumie dawa (albendazole) kabla ya kupima na kujua kile kinachosabaisha kuwashwa nafikiri si sahihi
 
Sio rahisi kuwakuta Enterobius vermicularis kwenye stool.Mara nyingi watoto ndiyo unaweza wawekea celotape kwa anus, then asubuhi wakiamka unachukua hiyo tape na kupeleka maabara.Labda kama yuko tayari kwa hicho kipimo,wakamuwekee celotape.Albendazole is harmless, anyone can use it without side effects.Anaweza akachukua na ushauri wako ili angalau ujipatie Consultation fee kama atakuja hospitali yako.Tangu lini pilipili zikasababisha anal itching?never on earth.Na utu uzima wake huyu, amekuwa akipaosha na kupakausha, unataka kuniambia hizi siku tatu kaacha kupaosha?Na hiyo sabuni inawasha eneo hilo tu?
 
1.Siyo kila mtu anatumia maji kujiswafi, wengine wanatumia toilet tissue.
2.Pilipili, (and other spices) zinaweza kusababishi anal itching.
3.Alibendazole ni antibiotic na kama itatumika isivyo inaweza kusabisha minyoo waijengee usugu.
4.Rectal swab inaweza kutumika kuwachukua hao minyoo badala ya cellophane
5.Consultation fee yetu ni Tshs 30,000/=
6. Unakaribishwa, nipo hapa mikocheni
 
Tangu lini Albendazole ikawa antibiotic?hata internet service uliyonayo haikusaidii?Nakutakia kila la kheri.
Nikiiangalia hiyo namba 4, nina wasiwasi na tiba yako.sina uhakika kama unakijua unachofanya.
 
Hata mimi nilikuwa na uwelewa mdogo kama wewe. Albendazole ni antibiotic (anti= against; biotic = life). na siyo hiyo tu ongeza na hizi: Quinine, chloroquine, mseto etc
 
madaktari tusaidieni kwa kweli, hata mtoa mada nahisi atakuwa amechanaganyikiwa, doctors pls msaada na maelekezo yenu sahihi hapa ni muhimu kwetu sote

By MauberoTangu lini Albendazole ikawa antibiotic?hata internet service uliyonayo haikusaidii?Nakutakia kila la kheri.
Nikiiangalia hiyo namba 4, nina wasiwasi na tiba yako.sina uhakika kama unakijua unachofanya.

By georgeallen
1.Siyo kila mtu anatumia maji kujiswafi, wengine wanatumia toilet tissue.
2.Pilipili, (and other spices) zinaweza kusababishi anal itching.
3.Alibendazole ni antibiotic na kama itatumika isivyo inaweza kusabisha minyoo waijengee usugu.
4.Rectal swab inaweza kutumika kuwachukua hao minyoo badala ya cellophane
5.Consultation fee yetu ni Tshs 30,000/=
6. Unakaribishwa, nipo hapa mikocheni

By georgeallenHata mimi nilikuwa na uwelewa mdogo kama wewe. Albendazole ni antibiotic (anti= against; biotic = life). na siyo hiyo tu ongeza na hizi: Quinine, chloroquine, mseto etc
 
Asante wakuu,kupitia ushauri wenu nimepona.
 
Back
Top Bottom