Naomba Msaada Kwa Wale Ambao Niwataalam Wa Afya

Naomba Msaada Kwa Wale Ambao Niwataalam Wa Afya

kim prince msofe

Senior Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
154
Reaction score
44
Je kitendo cha kukaza kwa misuli ya mguu hua mara nyingi inawapata wachezaji wa mpira wa miguu kinaitwaje kisayansi na kinasababishwa nanini?????? Naombeni mnisaidie wana JF
 
Kinaitwa muscle clump ( crump kama sijakosea) husababishwa na ukosefu wa hewa ya oksijeni kwenye misuli ya miguu na kufanya myocells kurespire anaerobically ambapo hutoa acid kama byproduct ambayo ndo husababisha huko kukaza kwa misuli..
Nmetumia biology niliyosoma olevel mwenye MD aje atoe kiafya zaidi.. !
 
Muscle clamp=Muscle cramp
 
SHORTLY/,KIUFUPI

Hili tatizo huitwa muscle crmp, au nighttime spasm au muscle spasm kwa lugha ya kigeni.

KISABABISHI
Sababu kuu hasa ya tatizo hili bado haijulikani kwa mujibu wa watafiti wa physiolojia ya miili.

Hizi hapa ni sababu zinazopatikana kwa sasa;

1/ Ni kukosekana kwa damu ya kutosha sehemu za misuli ya miguu(Arteriosclerosis of extrimities) hasa wakati wa mazoezi sababu ambayo humfanya mtu kupata maumivu makali na kuhisi kubanwa na misuli
2/Mgandamizo wa mishipa ya fahamu ilipitia kwenye misuli ya miguu ambayu huungana mishipa mingine ya uti wa mgongo(spine nerves) tatizo hili huitwa(Lumber stenosis), nalo hutokea wakati wa mazoezi pia.
3/Ukosefu wa madini ya potassium, Calcium na Magnesium pia subabisha hali kama hiyo.

4/Matumizi makubwa ya dawa za kusaidia kutoa mkojo mwilini(Diuretics) pia husabsbisha tatizo kama hili.

HITIMISHO,

Tatizo kama hili kuelezea phyisiology yake kwa undani hasa ni ngumu kwa sababu bado watafiti wana endelea na kazi kutafuta "the main cause of disorder"
 
Back
Top Bottom