kim prince msofe
Senior Member
- Feb 27, 2015
- 154
- 44
Je kitendo cha kukaza kwa misuli ya mguu hua mara nyingi inawapata wachezaji wa mpira wa miguu kinaitwaje kisayansi na kinasababishwa nanini?????? Naombeni mnisaidie wana JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muscle clamp=Muscle crampKinaitwa muscle clump ( crump kama sijakosea) husababishwa na ukosefu wa hewa ya oksijeni kwenye misuli ya miguu na kufanya myocells kurespire anaerobically ambapo hutoa acid kama byproduct ambayo ndo husababisha huko kukaza kwa misuli..
Nmetumia biology niliyosoma olevel mwenye MD aje atoe kiafya zaidi.. !