SHORTLY/,KIUFUPI
Hili tatizo huitwa muscle crmp, au nighttime spasm au muscle spasm kwa lugha ya kigeni.
KISABABISHI
Sababu kuu hasa ya tatizo hili bado haijulikani kwa mujibu wa watafiti wa physiolojia ya miili.
Hizi hapa ni sababu zinazopatikana kwa sasa;
1/ Ni kukosekana kwa damu ya kutosha sehemu za misuli ya miguu(Arteriosclerosis of extrimities) hasa wakati wa mazoezi sababu ambayo humfanya mtu kupata maumivu makali na kuhisi kubanwa na misuli
2/Mgandamizo wa mishipa ya fahamu ilipitia kwenye misuli ya miguu ambayu huungana mishipa mingine ya uti wa mgongo(spine nerves) tatizo hili huitwa(Lumber stenosis), nalo hutokea wakati wa mazoezi pia.
3/Ukosefu wa madini ya potassium, Calcium na Magnesium pia subabisha hali kama hiyo.
4/Matumizi makubwa ya dawa za kusaidia kutoa mkojo mwilini(Diuretics) pia husabsbisha tatizo kama hili.
HITIMISHO,
Tatizo kama hili kuelezea phyisiology yake kwa undani hasa ni ngumu kwa sababu bado watafiti wana endelea na kazi kutafuta "the main cause of disorder"