Habari zenu wana JF, mimi nipo mkoa wa Dar es salaam naomba msaada kwa yeyote anayejua wapi nitapata mashine ya kusagia juice za miwa zenye uimara na range ya bei zake, pia kwa ambao mshafanya/mnafanya je hii biashara ina faida? na ni sehemu gani nzuri naweza kuiweka ikaniletea faida nzuri? Natanguliza shukrani zangu za dhati, Mungu awabariki